kwa wanafunzi wa elimu ya juu, waweza kutoa mchango wako kulingana na uelewa wako ila katika mtazamo wa kujenga na kuokoa jamii yetu.
"HUJA NA KUONDOKA"
katiak vyuo hususani vyuo vikuu wanachuo huja kwa mara ya kwanza wakiwa Wakristo na wana dini kamili lakini huondoka vyuoni wakiwa Wapagani na wasio na mwelekeo.
"people came genuine Christians but they leave pagans"
No comments:
Post a Comment